Watu 40 wakatwa mapanga huko Ituri Kongo

28 May, 2020

|

Watu wasiopungua 40 wameuawa katika shambulizi jingine la kutisha la wanamgambo wa ADF huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mpakani na Uganda. Inasemekana kwamba magaidi hao walitekeleza ukatili huo kwa kutumia mapanga na kwamba mbali na mauaji, wameiba pia vitu vya thamani vya wakazi wa kijiji hicho. Mauaji hayo ya halaiki yameripotiwa¬†siku […]

Read More

Ufaransa kuharibu maendeleo ya umoja wa Afrika

28 May, 2020

|

Mara nyingi maraisi wa Afrika wanajitahidi kutaka kuboresha bara hilo, ila katika nchi za tatu, maana yake Ulaya awako tayari kuona bara la Afrika linabadilika na kusonga mbele. Kilichojitokea siku hizi ni kwamba nchi za Afrika zilianza kuongea kwa pamoja kuanza mwaka wa 2003 kuhusu kuwa na pesa za pamoja kama vile Ulaya ilivyo na […]

Read More

CENCO YADHIBITISHA MARTIN FAYULU KAMA MSHINDI WA URAIS DR CONGO

5 January, 2019

|

Bado tume ya uchaguzi CENI kutangaza mshindi katika uchaguzi wa uraisi uliofanyika tarehe 30 disemba 2018, huku taharifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikisema kwamba, kanisa Katoliki katika kitengo chao cha CENCO, wameamua kutangaza jina la mshindi ambaye wamedhibitisha bila wasi wasi kwamba ni Martin Fayulu. Tunasubiri ni yupi CENI watatangaza.

Read More

KUAHIRISHWA KWA MATOKEO YA UCHAGUZI DR CONGO

5 January, 2019

|

Tume ya uchaguzi (CENI) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imetangaza hapo jana tariki (03-01-2019) kupitia Corneille Nangaa kwamba uwezekano wakutangaza matokeo ya uchaguzi wa rais siku ya Jumapili tariki 6 mwezi huu wenda isiwezekane kutokana na tatizo la vifaa (lojistiki). Kutokana na tatizo hilo Nangaa hakueleza lini anafikiri matokeo hayo atayatangaza. Kwa mujibu wa […]

Read More

UCHAGUZI WA RAIS NCHINI KONGO UMEKUWA MGUMU

5 January, 2019

|

Mashine za kupigia kura ziliaribika katika maeneo kadhaa na waangalizi walisema kuwa makosa yalikuwa yameonekana katika sehemu ya tano ya vituo vya kupigia kura. Karibu saa 5 jioni vituo vya kupigia kura vilipaswa kufungwa, lakini watu ambao tayari walikuwa kwenye mstari waliweza kupiga kura baadaye. Katika uchunguzi wa hivi karibuni, uliyofanyika kabla ya uchaguzi, ulionyesha […]

Read More

Hello world!

26 November, 2018

|

Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!

Read More