CENCO YADHIBITISHA MARTIN FAYULU KAMA MSHINDI WA URAIS DR CONGO

Bado tume ya uchaguzi CENI kutangaza mshindi katika uchaguzi wa uraisi uliofanyika tarehe 30 disemba 2018, huku taharifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikisema kwamba, kanisa Katoliki katika kitengo chao cha CENCO, wameamua kutangaza jina la mshindi ambaye wamedhibitisha bila wasi wasi kwamba ni Martin Fayulu.

Tunasubiri ni yupi CENI watatangaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *