CENCO YADHIBITISHA MARTIN FAYULU KAMA MSHINDI WA URAIS DR CONGO

5 January, 2019

|

Bado tume ya uchaguzi CENI kutangaza mshindi katika uchaguzi wa uraisi uliofanyika tarehe 30 disemba 2018, huku taharifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikisema kwamba, kanisa Katoliki katika kitengo chao cha CENCO, wameamua kutangaza jina la mshindi ambaye wamedhibitisha bila wasi wasi kwamba ni Martin Fayulu. Tunasubiri ni yupi CENI watatangaza.

Read More

KUAHIRISHWA KWA MATOKEO YA UCHAGUZI DR CONGO

5 January, 2019

|

Tume ya uchaguzi (CENI) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imetangaza hapo jana tariki (03-01-2019) kupitia Corneille Nangaa kwamba uwezekano wakutangaza matokeo ya uchaguzi wa rais siku ya Jumapili tariki 6 mwezi huu wenda isiwezekane kutokana na tatizo la vifaa (lojistiki). Kutokana na tatizo hilo Nangaa hakueleza lini anafikiri matokeo hayo atayatangaza. Kwa mujibu wa […]

Read More

UCHAGUZI WA RAIS NCHINI KONGO UMEKUWA MGUMU

5 January, 2019

|

Mashine za kupigia kura ziliaribika katika maeneo kadhaa na waangalizi walisema kuwa makosa yalikuwa yameonekana katika sehemu ya tano ya vituo vya kupigia kura. Karibu saa 5 jioni vituo vya kupigia kura vilipaswa kufungwa, lakini watu ambao tayari walikuwa kwenye mstari waliweza kupiga kura baadaye. Katika uchunguzi wa hivi karibuni, uliyofanyika kabla ya uchaguzi, ulionyesha […]

Read More